Miili ya wahanga 2 walioshambuliwa jana Lamu imepatikana 

Miili ya watu wawili imepatikana hii leo kwenye msitu wa Boni baada ya kundi la wanamgambo wa Al shabaab, kuuvamia msafara wa magari  na pia kumteka nyara  katibu wa wizara ya ujenzi Mariam El Maawy, ingawaje wanajeshi wa KDF waliweza kumuokoa pamoja na wengine. Vilevile wanajeshi wa KDF  wamepata gari aina ya Landcruiser la polisi ambalo ...

The post Miili ya wahanga 2 walioshambuliwa jana Lamu imepatikana  appeared first on Mediamax Network Limited.

1 week 23 hours ago
Fri, 07/14/2017 - 20:18 -- Anonymous (not verified)