Mwanasheria Mkuu aonya mtafaruku wa kikatiba unanukia


Mahakama ya rufaa imesikiza kesi ya rufaa iliyowasilishwa na tume huru ya uchaguzi na mipaka  IEBC pamoja na chama cha Jubilee wakipinga uamuzi wa mahakama kuu iliyosimamisha uchapishaji wa karatasi za uchaguzi wa urais kutekelezwa na kampuni ya Al ghurair. Kwenye kesi hiyo mwanasheria mkuu Prof. Githu Muigai amehoji kuwa iwapo uamuzi huo hautabatilishwa, huenda Kenya ikakumbwa ...

The post Mwanasheria Mkuu aonya mtafaruku wa kikatiba unanukia
 appeared first on Mediamax Network Limited.

1 week 11 hours ago
Fri, 07/14/2017 - 20:14 -- Anonymous (not verified)